Wavivu wa kusoma thread ndefu tuanoelewaga thread kupitia comments za wachangiaji tukutane apa

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Mi nina arrange na thread ndefu especially mambo ya siasa nasubiri tu maoni ya wasomaji.

Kama na wewe upo kama Mimi karibu tusaidiane namna ya kutibu huu ugonjwa
 
una arrange au ulimaanisha allergy? msiwe mnalazimisha lugha za watu hivyo, ungesema tu una mzio na nyuzi ndefu
 
Mi nina arrange na thread ndefu especially mambo ya siasa nasubiri tu maoni ya wasomaji.

Kama na wewe upo kama Mimi karibu tusaidiane namna ya kutibu huu ugonjwa
Kama kusoma thread tu ni kazi je ukipewa kazi ufanye utaweza kweli?
 
Mimi ikiwa imejaa kidhungu ndo kabisaaa nawahi comments hata kama fupi.
 
Hata huu wako sijamaliza...nimesoma kichwa cha habari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…