Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha na kumhimiza Jie apite, jambo lililoibua mjadala na kupelekea uchunguzi kufanyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashindano yalirudiwa?Mshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie awe mshindi wa kwanza.
Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha na kumhimiza Jie apite, jambo lililoibua mjadala na kupelekea uchunguzi kufanyika.
Nchi nyingi za Africa zinadaiwa na China. Huwenda ni Technique ya kupunguza madeni 😂Mshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie awe mshindi wa kwanza.
Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha na kumhimiza Jie apite, jambo lililoibua mjadala na kupelekea uchunguzi kufanyika.
Hizi njaa hizi, hapo waliaidiwa pesa ndefu, na huyu mmoja, bila kujua anaweza kuonekana kwenye camera, anamsisitiza mchina,aje upande huu, anampisha kabisaMshindi wa kwanza hadi wa nne wa Beijing Half Marathon wamepokonywa medali zao baada ya uchunguzi kuthibitisha kuwa wakimbiaji watatu toka Afrika walikula njama na kumwacha raia wa China, He Jie awe mshindi wa kwanza.
Katika video wanaonekana wakimbiaji hao kutoka Kenya na Ethiopia wakimpisha na kumhimiza Jie apite, jambo lililoibua mjadala na kupelekea uchunguzi kufanyika.