Wavuta Bangi We CCM Madarakani

Wavuta Bangi We CCM Madarakani

NecZec

Member
Joined
Jan 23, 2019
Posts
45
Reaction score
65
Njia nyepesi ya kuiondoa CCM madarakani ni kuwashawishi watanzania kuanza kuvuta bangi kwa wingi😀😀😀wavuta bangi wakifikia robo ya wanywa pombe hakika CCM kwaheri😀😀😀Chadema wekezeni kwenye bangi maana hakuna asiyejua shughuli ya mvuta bangi😀😀.
Bangi njoo tuige CCM
 
Back
Top Bottom