#COVID19 Wavutaji wa Sigara na Tumbaku wako hatarini zaidi endapo wataambukizwa #CoronaVirus

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Shirika la Afya Duniani(WHO) limeeleza kuwa watumiaji wa Sigara na Tumbaku wako kwenye hatari zaidi endapo Watabeba virusi kwenye viganja vyao

WHO imesema kuwa kitendo cha uvutaji wa Sigara na Tumbaku kinahusisha mikono kugusa mdomo hivyo ni rahisi kupata maambukizi endapo mvutaji hakuzingatia kanuni za usafi dhidi ya #CoronaVirus

Aidha, watumiaji wa Sigara na Tumbaku wanaweza kuwa na matatizo katika mapafu yao na Ugonjwa wa #COVID19 hushambulia mfumo wa upumuaji yakiwemo mapafu. Hivyo wao huwa katika hatari zaidi endapo watapata maambukizi

Matumizi ya Shisha katika maeneo ya watu wengi wanaotumia chombo kimoja pia ni hatari kwani huongeza urahisi wa maambukizi

======

Are smokers and tobacco users at higher risk of COVID-19 infection?

Smokers are likely to be more vulnerable to COVID-19 as the act of smoking means that fingers (and possibly contaminated cigarettes) are in contact with lips which increases the possibility of transmission of virus from hand to mouth. Smokers may also already have lung disease or reduced lung capacity which would greatly increase risk of serious illness.

Smoking products such as water pipes often involve the sharing of mouth pieces and hoses, which could facilitate the transmission of COVID-19 in communal and social settings.

Conditions that increase oxygen needs or reduce the ability of the body to use it properly will put patients at higher risk of serious lung conditions such as pneumonia

WHO
 
Waache sigara wavute bangi.huwa inaongeza kinga mwilini.
 
Thanks. Kuvuta sigara ni tatizo3. Kuvuta vitu ingine je?
 
Kupokezana sigara ni hatari

Baadhi ya wanaovuta sigara hasa Afrika, mara nyingi hupenda kupeana au kuvuta sigara moja kati yao (yaani wana-share). Kwa lugha yao, wanasema ni 'kugongeana'. Lakini je wanajua kuwa hiyo ni njia moja ya kueneza virusi vya corona? Fahamu vipi kwenye vidio zetu maalum za #KurunziAfya na Dkt.Sizya.
 
Hivi kuna watu bado wanagogea sigara?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
ONYO: kila pakti ya sigara limewekwa. Sobwavutaji wanajiachia Huna haha ya kuwakumbusha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom