Wavutaji wote hapa

Eti sijakaa na magoon wakati mi mwenyewe goon.Wewe hujanielewa,nimezungumzia discipline kwenye kujiwekea mipaka.Na wewe mpaka kwenda kijiwe cha wala unga unatafuta nini,na aliyekwambia kila mtu anavutia bange maskani nani.
Pamoja mkali, nikajua una sapoti ile mtu aende hayo maeneo bila kuwa conscious
 
daah.. kuna boya kaja maskan hapa kazibeba zote,,,... nilijua zimebak kumbe hakuna kitu... hawa bodaboda wa huku wapuuzi tu wanajua gesti tu haya makinikia hawayajui.. ngoja nitulie kesho ntapata tu
Hahah pole mzee I wish ningekurushia kwenye pm,nna kitu cha swazi hapa nakivutia kasi muda simrefu nkilipue
 
Pamoja mkali, nikajua una sapoti ile mtu aende hayo maeneo bila kuwa conscious
Hapana kaka.mi nmeacha kununua/kuvutia maskani kitambo sana,nanunua kwa trusted suplier,au nafuata mkoa.natumia nyumbani privately pekeangu au pamoja na marafiki.
 
Very soon,ila kutumia kiwiziwizi nako kuna raha yake

hii kitu nimeianza tangia nipo darasa la 4... mwendo wa kujilipua.. wauni wananishangaa jamaa mbona unajilipua na weed alaf pombe unywi... nikasema hii kitu haina side effects.. kuliko hayo mapombe yenu
 
hii kitu nimeianza tangia nipo darasa la 4... mwendo wa kujilipua.. wauni wananishangaa jamaa mbona unajilipua na weed alaf pombe unywi... nikasema hii kitu haina side effects.. kuliko hayo mapombe yenu
Mie mwenyewe sinywi,ila ulianza mapema sana mzee baba.
 
i remember siku nilikua nawanangu tulivuta ganja hamsin within 2hours tulikua wanne siku hiyo ghetto tulifunga milango madirisha nakumbuka nilipoteza network after two hours ndo nkaamka kuendeleza ligi was hot day the second day chuo vitu vikawa vinapwaya afu ticha alikua wa mambo ya machine bhax niliona ananikoroga tu nilikua in high end by that time anafundisha nilikua dizzy the whole day ile dose ilikua hot
 
hahah... mapema sana... alaf mie ukinikuta KITAA... mie ni MTAKATIFU... dah basi nilikuwa nawa enjoy wazee wangu ile mbaya... walikuwa wananiona mtu mmoja boya boya... kumbe ndani nina mapuri kama 1000 ya weed
Hahah,mi pia ukiniona sifananii kabisa na stereotype ya wavuta bangi,lakini mpaka kuilima nishawahi ilima na nkaivuna.
 
blunt joint hahaha umenikumbusha kipindi naanza kuchoma mjani na wakuda flani hivi wa majuu ni hatareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…