mkuu niliposema mapichapicha nimemaanisha halucinationkwahiyo watu tunataka tule magic mushroom tuone mapichapicha hahah i love that,au ndio huo naskiaga wanauita uyoga wanyoka
sasa huu uyoga ukipatikana tunaukausha alafu tunamix na bangi tunavuta tuone kama hatujagundua hata sayari mpya
Ukipata nami naombaAlafu mr qns wewe! unaleta utani watu tupo siriaz! nakupa kazi ya kutafuta bangi iliyokaushwa na huu uyoga, ukipata uniletee ntakupa contact zangu inbox
Shoulda be very careful when experimenting on anything,sio kila kitu cha kujaribu,u dont have to know stimu za kila kilevi.kwahiyo watu tunataka tule magic mushroom tuone mapichapicha hahah i love that,au ndio huo naskiaga wanauita uyoga wanyoka
Hadi kunako sita kwa sita?Weed smokers wengi wanakuaga wapole sana
Muingereza mnafiki tu,karibia suburbs zote za uk kuanzia council estates mpaka kwenye students houses za vyuo vyote weekend mwendo ni madawa ya kulevya yaani bhangi ni ka fegi ni vigumu kupiga hatua hata kumi ujasikia harufu ya bhangi,vitongonji kama Brixton bhannge linanukia kuanzia train station na polisi wanapotezea kwa kuwa hawana njaa na wana mambo ya maana kuliko kukamata watu na starehe zao.Mpaka Muingereza atakapo legalize si unajua ndio mtawala wetu
Ila nasikia kunako eti wanakuwa mdebwedo, eti ile kitu inawafanya wasipende kunjunja. Kuna jamaa juzi tu alikuwa ananiambia hivyo, hata kwa mkewe hana wivu kabisa, ashawahi kulala na shemeji zake kitanda kimoja for a week bila bila...Weed smokers wengi wanakuaga wapole sana
Ila nasikia kunako eti wanakuwa mdebwedo, eti ile kitu inawafanya wasipende kunjunja. Kuna jamaa juzi tu alikuwa ananiambia hivyo, hata kwa mkewe hana wivu kabisa, ashawahi kulala na shemeji zake kitanda kimoja for a week bila bila...
Nikajisemea...looooh!!
Durban poison inaamsha balaa,kuna ile wanaita moon rock,sour diesel na girl scout cookies nazo ziko poa.Kama nataka kutulia home na familia napiga mjani wa indica kama lemon cheese skunk,purple haze hapo stimu zake zinanifanya nitulie home na sina mpango na issue yeyote duniani zaidi ya familia yangu,nikitaka mzuka wa kwenda out kujirusha au nikiwa nafanya kazi zangu za maendeleo napiga mjani wa sativa kama durban poison,jamaican bush,african bush.ONE LOVE.
JF hatufagilii matumizi ya madawa ya kulevyaa!!