MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Duh! binafsi kwa kweli nachukia sana hili la kukamatana kila wavuvi wakitoka kwenda kusaka tonge, kisa wamevuka na kuingia upande wa nchi nyingine, samaki wenyewe hawana mipaka, wanaogelea tu, ila ndivyo tulivyoachiwa na wakoloni, walituchorea mipaka na kutuamrisha tuishi kwa kuonana kwa misingi yake.
Hivi majuzi Tanzania iliwakamata wavuvi wa Kenya na kuwatoza faini za kiajabu, haya nao Watanzania 100 wananyea debe Kenya baada ya kukamatwa jana, imekua mchezo wa chuki na visasi kwa kwenda mbele
---------------------------------------------------
Over 100 fishermen from Tanzania are being held in Kilifi after drifting into the Kenyan waters.
The Kenya Coast Guard Service (KCGS) seized the Tanzanians and their 23 fishing vessels on Friday while operating in Kenya’s territorial waters after their boats landed in Kilifi, Wesa, Watamu, Ngomeni, Malindi, Uyombo, Mayungu and Kipini
www.nation.co.ke

Kenya detains over 100 Tanzanians in fishing row
Kenya Coast Guard Service says some of the fishermen lack proper identification documents.