Wavuvi 100 Watanzania wakamatwa Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Duh! binafsi kwa kweli nachukia sana hili la kukamatana kila wavuvi wakitoka kwenda kusaka tonge, kisa wamevuka na kuingia upande wa nchi nyingine, samaki wenyewe hawana mipaka, wanaogelea tu, ila ndivyo tulivyoachiwa na wakoloni, walituchorea mipaka na kutuamrisha tuishi kwa kuonana kwa misingi yake.
Hivi majuzi Tanzania iliwakamata wavuvi wa Kenya na kuwatoza faini za kiajabu, haya nao Watanzania 100 wananyea debe Kenya baada ya kukamatwa jana, imekua mchezo wa chuki na visasi kwa kwenda mbele
---------------------------------------------------

Over 100 fishermen from Tanzania are being held in Kilifi after drifting into the Kenyan waters.
The Kenya Coast Guard Service (KCGS) seized the Tanzanians and their 23 fishing vessels on Friday while operating in Kenya’s territorial waters after their boats landed in Kilifi, Wesa, Watamu, Ngomeni, Malindi, Uyombo, Mayungu and Kipini

 
Hizi invisible borders need to be done away with.
 
Walisombwa na dhoruba ndio wakajikuta Kenya.. Na wamepokelewa ka wahanga..
Waloshikwa kuvua ni wachina..
 
Acha wamlilie rais wao Jiwe, si ndio sera zake na chama chake, kueneza chuki na uhasama A.M? Ingependeza zaidi kama Kenya Coast Guard wangevitia moto hivyo vifaa vyao chakavu, ili kuzuia maambukizi ya pepo punda na fangasi kwa samaki wetu.
 
Acha wamlilie rais wao Jiwe, si ndio sera zake na chama chake, kueneza chuki na uhasama A.M? Ingependeza zaidi kama Kenya Coast Guard wangevitia moto hivyo vifaa vyao chakavu, ili kuzuia maambukizi ya pepo punda na fangasi kwa samaki wetu.
Acha ufala. mkiweka mambo ya chuki mtapata shida kuna ndugu zenu huku kibao hata tumewaacha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…