Wavuvi 540 waokolewa, 10 wanatafutwa ziwa Rukwa kufuatiwa kukumbwa na upepo mkali

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
IMG-20250124-WA1792.jpg

Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa.

Soma Pia: Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga - Rukwa, Waziri Bashungwa atembelea

Kufuatia tukio hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika katika Kata ya Nankanga kuungana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji kujionea kazi ya uokozi huku akiwa ameambata na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga pamoja na Askari Wazamiaji.

IMG-20250124-WA1788.jpg

Akitoa taarifa ya tukio hilo, Mkuu wa wilaya ya Sumbwanga Nyakia Chirukile ameelewa kuwa mnamo tarehe 23 Januari 2025, Jumla ya Wavuvi 550 kutoka Kata ya Nankanga na Mtowisa waliokuwa wanaendelea na shughuli za Uvuvi katika ziwa Rukwa walipatwa na dhoruba ya upepo mkali katika Ziwa Rukwa.

DC, Ameeleza kuwa jitihada za kuokoa zinazoendelea kufanywa na Wananchi wakishirikiana na Jeshi la Zimamoto wa Uokoji ambapo kufikia tarehe 24 Januari 2025 kufikia saa moja usiku, Wavuvi 10 bado hawajapatikana

IMG-20250124-WA1786.jpg

Akitoa salama za Pole, Waziri Bashungwa amesema kuwa Mheshiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kupata taarifa hizo, ametoa helkopta ya Jeshi iliyoambatana na Wazamiaji na vifaa maalum za uokozi ili kuongeza nguvu za Uokoaji

Kwa Upande wake, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji ametoa pongezi kwa Wananchi kwa kushiriki kikamkalifu katika uokoaji pamoja na kutoa ushirikiano wa kuwatambua wavuvi wengine ambao walikuwa hawajasajiliwa katika Vikundi na makampuni.

IMG-20250124-WA1790.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250124-WA1795.jpg
    IMG-20250124-WA1795.jpg
    350 KB · Views: 4
  • IMG-20250124-WA1797.jpg
    IMG-20250124-WA1797.jpg
    449 KB · Views: 3
Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa.
IMG_2745.jpeg

Kufuatia tukio hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika katika Kata ya Nankanga kuungana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji kujionea kazi ya uokozi huku akiwa ameambata na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga pamoja na Askari Wazamiaji.
IMG_2740.jpeg

Akitoa taarifa ya tukio hilo, Mkuu wa wilaya ya Sumbwanga Nyakia Chirukile ameelewa kuwa mnamo tarehe 23 Januari 2025, Jumla ya Wavuvi 550 kutoka Kata ya Nanganga na Mtowisa waliokuwa wanaendelea na shughuli za Uvuvi katika ziwa Rukwa walipatwa na dhoruba ya upepo mkali katika Ziwa Rukwa.
IMG_2741.jpeg

DC, Ameeleza kuwa jitihada za kuokoa zinazoendelea kufanywa na Wananchi wakishirikiana na Jeshi la Zimamoto wa Uokoji ambapo kufikia tarehe 24 Januari 2025 kufikia saa moja usiku, Wavuvi 10 bado hawajapatikana
IMG_2742.jpeg

Akitoa salama za Pole, Waziri Bashungwa amesema kuwa Mheshiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kupata taarifa hizo, ametoa helkopta ya Jeshi iliyoambatana na Wazamiaji na vifaa maalum za uokozi ili kuongeza nguvu za Uokoaji
IMG_2744.jpeg

Kwa Upande wake, Waziri wa Mifugo na Uvuvu ametoa pongezi kwa Wananchi kwa kushiriki kikamkalifu katika uokoaji pamoja na kutoa ushirikiano wa kuwatambua wavuvi wengine ambao walikuwa hawajasajiliwa katika Vikundi na makampuni.
IMG_2743.jpeg
 
WAVUVI 540 WAOKOLEWA, 10 WANATAFUTWA ZIWA RUKWA, MAWAZIRI BASHUNGWA NA KIJAJI WAFIKA SUMBAWANGA.

Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa.

Kufuatia tukio hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika katika Kata ya Nankanga kuungana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji kujionea kazi ya uokozi huku akiwa ameambata na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga pamoja na Askari Wazamiaji.

Akitoa taarifa ya tukio hilo, Mkuu wa wilaya ya Sumbwanga Nyakia Chirukile ameelewa kuwa mnamo tarehe 23 Januari 2025, Jumla ya Wavuvi 550 kutoka Kata ya Nankanga na Mtowisa waliokuwa wanaendelea na shughuli za Uvuvi katika ziwa Rukwa walipatwa na dhoruba ya upepo mkali katika Ziwa Rukwa.

Mkuu wa Wilaya Chirukile ameeleza kuwa jitihada za kuokoa zinazoendelea kufanywa na Wananchi wakishirikiana na Jeshi la Zimamoto wa Uokoji ambapo kufikia tarehe 24 Januari 2025 kufikia saa moja usiku, Wavuvi 10 bado hawajapatikana

Akitoa salama za Pole, Waziri Bashungwa amesema kuwa Mheshiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kupata taarifa hizo, ametoa helkopta ya Jeshi iliyoambatana na Wazamiaji na vifaa maalum za uokozi ili kuongeza nguvu za Uokoaji

Kwa Upande wake, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji ametoa pongezi kwa Wananchi kwa kushiriki kikamkalifu katika uokoaji pamoja na kutoa ushirikiano wa kuwatambua wavuvi wengine ambao walikuwa hawajasajiliwa katika Vikundi na makampuni.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.09.50.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.09.50.jpeg
    454.7 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.09.56.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.09.56.jpeg
    608.3 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.09.58.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.09.58.jpeg
    578 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.00.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.00.jpeg
    511.9 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.02.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.02.jpeg
    350 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.05.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.05.jpeg
    449 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.06.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-24 at 21.10.06.jpeg
    569.4 KB · Views: 4
Ni upepo tu au kuna ziada? Mbona naona kwenye picha matope yakiwa yamejaa kwenye makazi ya watu?
 
Back
Top Bottom