Wavuvi Hahari ya Hindi waruhusiwa kutumia jenereta na taa za sola hadi 01/01/2021

Wavuvi Hahari ya Hindi waruhusiwa kutumia jenereta na taa za sola hadi 01/01/2021

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Mifugo Mhe. Mpina ameruhusu matumizi ya genereta na taa za sola wakati wa uvuvi hadi tarehe 01/01/2021 serikali itakapokuwa imefanya utafiti na itatoa maamuzi

Awali matumizi ya jenereta na taa za sola yalikuwa yamepigwa marufuku ili kulinda viumbe wa baharini.

Chanzo: Star tv habari!
 
Siasa safi hizo
Hata daladala zinakuwa hadi kariakoo pembeni mwa mwendokasi
 
Hongera kwa CCM chini ya uongozi wa mheshimiwa Dr. Magufuli kwa kuiwezesha Bayern Munich kuishinda na hatimae kuing'oa kabisa Barcelona katika michuano ya UEFA.

Hakika ilani ya CCM 2015 imetekelezeka vyema.
 
Waziri wa mifugo mh Mpina ameruhusu matumizi ya genereta na taa za sola wakati wa uvuvi hadi tarehe 01/01/2021 serikali itakapokuwa imefanya utafiti na itatoa maamuzi

Awali matumizi ya genereta na taa za sola yalikuwa yamepigwa marufuku ili kulinda viumbe wa baharini.

Source Star tv habari!
Uchaguuzi ukipita tutawazuia , politics politics politics
 
Hongera mvuvi wa Tanga kwa kuwapa ukweli serikali hii ya CCM Mpya.
 
Back
Top Bottom