johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchaguuzi ukipita tutawazuia , politics politics politicsWaziri wa mifugo mh Mpina ameruhusu matumizi ya genereta na taa za sola wakati wa uvuvi hadi tarehe 01/01/2021 serikali itakapokuwa imefanya utafiti na itatoa maamuzi
Awali matumizi ya genereta na taa za sola yalikuwa yamepigwa marufuku ili kulinda viumbe wa baharini.
Source Star tv habari!