byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Kama hujawahi ingia hili chimbo naomba uje ununue hata soda kwa elfu 4 ujifunze maisha watu wanaishije watu, wana spendije.
Hapa Heineken inauzwa 8500, Serengeti lite 7000. Heineken bucket inauzwa 46,000.
Sasa we jibebe unakotoka uje na sh 20,000 uendelee kuleta fujo kama hauta tupwa baharini, hapa kuna watu classic mandinga classic yana onesha tu uchumi watu wanao, vile vitaa wanabeba wadada kuna chupa ya 350,000 inasindikizwa kwa mteja akamwagilie moyo, sisi wengine tuendelee kulia na nyongeza ya mshahara ya mama ya shilingi 22,000.
Ninaposema pale ni chujio la kiuchumi namaanisha kama wewe unaunga maisha pale sio mahala pako, ukiwa mbishi njoo kunywa hata bia moja vimba, piga mapicha kawatambie insta huku unajitukana kimoyo moyo kisha ondoka mapema sana usikae hapo[emoji23][emoji23][emoji23]