Wavuvi Kempu kufungwa Januari 23, 2023

Wavuvi Kempu kufungwa Januari 23, 2023

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Taarifa zilizopo ni kwamba kile kijiwe pendwa kitafungwa rasmi tarehe 23 January 2023. Hakuna sababu zilizotolewa kufungwa kwa hiki kijiwe.

Kituo kinachofuata ni wapi?

IMG-20230116-WA0027.jpg

Wanafunga kwa ajili ya party, tarehe 24 wanafungua kama kawaida.

Kifupi Wavuvi kempu ipo sana
 
Kheeeeh mie nimesema tyuuh.
Couz hata sipajui, achilia kuwahi kwenda.

Pana vibe moja kali sana la kipekee na dj wapi wakali sna wananikosha wanapo anza na ule wimbo

Soooooo nice af wanachanganua ahaaaa shetani amepita gafla mapenzi yataniua yaani raha tupu pale

Ujakaa vizuri unasiki nishaachana na mapenzi mimi natafuta hela mimi naitwa boss nisha achana na usera nikikupenda nakuonga sina ngora gafla shayoooooo
 
Back
Top Bottom