Able_Mwamba
Member
- May 11, 2017
- 77
- 77
Taarifa njema.
Sawa tengeneza boss na acha wivu.Pesa hazitafutwi we boya, pesa zinategwa.
Una ujinga na utoto. Nimekua hapa for 15yrs. Nina kipi Cha kukimbilia ambacho sijawahi kwa miaka yote hio??Mbona
Mbona mnapenda kukurupuka kuleta taarifa za uongo,kisa uwe wa Kwanza Kwanza kupost!?
Tutahamia jirani tajiri yanguTajiri yangu @[mention]Elli [/mention] si tulipanga kutia nanga hapo sasa itakuwaje
Uhakika hapo hatuwezi potea.Yah ukifika to koko pale utaona mataa yana waka na boda zipo nying zimepaki pale na cars huwez kuona vits au ist ni za kuhesabu
ShukraniWanafunga kwa ajili ya party, tarehe 24 wanafungua kama kawaida.
Kifupi Wavuvi kempu ipo sana
Tutahamia jirani tajiri yangu
Wanafunga kwa ajili ya party, tarehe 24 wanafungua kama kawaida.
Kifupi Wavuvi kempu ipo sana
Taarifa zilizopo ni kwamba kile kijiwe pendwa kitafungwa rasmi tarehe 23 January 2023. Hakuna sababu zilizotolewa kufungwa kwa hiki kijiwe.
Kituo kinachofuata ni wapi?
View attachment 2483251
UmesomekaNitakustua this week twende kidogo tukale ngoma mbili tatu Tajir yangu
wale changuz dangajanja wa pale watakosa ajira itakuwaje sasaTaarifa zilizopo ni kwamba kile kijiwe pendwa kitafungwa rasmi tarehe 23 January 2023. Hakuna sababu zilizotolewa kufungwa kwa hiki kijiwe.
Kituo kinachofuata ni wapi?
View attachment 2483251