Salas
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 382
- 82
Zaidi ya wavuvi 30 wamevamia usiku wa kuamkia leo na kuibiwa mafuta na engine za boat na vifaa vya vingine vya boat na watu wanaosadikika kuwa wanajeshi wa M23 kutokana na mavazi na silaha walizokuwa nazo, hali hii ilikuwa imekwisha mara baada ya mapigano goma mambo kwa wananchi yanabadilika.
Wito:Jeshi lianze doria kwenye ziwa Tanganyika mara moja kwani hali ni ya hatari.
Wito:Jeshi lianze doria kwenye ziwa Tanganyika mara moja kwani hali ni ya hatari.