Zaidi ya wavuvi 30 wamevamia usiku wa kuamkia leo na kuibiwa mafuta na engine za boat na vifaa vya vingine vya boat na watu wanaosadikika kuwa wanajeshi wa M23 kutokana na mavazi na silaha walizokuwa nazo, hali hii ilikuwa imekwisha mara baada ya mapigano goma mambo kwa wananchi yanabadilika.
Wito:Jeshi lianze doria kwenye ziwa Tanganyika mara moja kwani hali ni ya hatari.
Subiri ikilipuliwa mv liemba ndio utapata akili, kwani ubishi na ujinga wa watawala unagharimu wasio na hatia!
Acha porojo
bana......visa vya uporaji ziwa Tanganyika viko muda mrefu na hatua
mbali mbali huwa zinachukuliwa
Muda ukifika ukweli utakuwa wazi, vuta subira kwani tunachotaka doria iongezwe ziwa Tanganyika hata ikiwezekana MUNUSCO watoe meli za doria.
mshikaji kachemka alitaka kufanya hii kuwa news , kigoma ni karibu kila mara haya matukio na ndiyo maana serikali ilishauri wawe wanaenda kuvua kwa pamoja na wasisambae sana na wakati huo huo jeshi na polisi wakifanya patrol gezini(katikati ya maji)Acha porojo bana......visa vya uporaji ziwa Tanganyika viko muda mrefu na hatua mbali mbali huwa zinachukuliwa
Embu tumia google earth angalia position ya Ziwa Tanganyika lilipo, then angalia North Kivu iko wapi. Realistically, it doesn't hold water kusema hao banyamulenge wako Ziwa Tanganyika
Zaidi ya wavuvi 30 wamevamia usiku wa kuamkia leo na kuibiwa mafuta na engine za boat na vifaa vya vingine vya boat na watu wanaosadikika kuwa wanajeshi wa M23 kutokana na mavazi na silaha walizokuwa nazo, hali hii ilikuwa imekwisha mara baada ya mapigano goma mambo kwa wananchi yanabadilika.
Wito:Jeshi lianze doria kwenye ziwa Tanganyika mara moja kwani hali ni ya hatari.
M23 waibe injini za boti?Labda wafuasi wa Ponda
Ebana eeh!M23 waibe injini za boti?Labda wafuasi wa Ponda
M23 waibe injini za boti?Labda wafuasi wa Ponda