Wavuvi waacha kutumia Mabovu kwenye Uvuvi

Wavuvi waacha kutumia Mabovu kwenye Uvuvi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Hapo mwanzoni kulikuwa na athari kubwa zinazotokanana uvuvi haramu, watu walipata ulemavu wengine wakipoteza maisha, kemikali zilitumika kuulia samaki kisha watu kutumia kemikali hizo zinazobaki kwenye samaki, hali haikuwa nzuri.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alidhamiria kuleta mabadiliko kwenye sekta ya uvuvi na ndio maana amefanikiwa sana katika kumaliza uvuvi haramu nchini.

Kwa kufanikisha hilo Serikali ilitoa boti za uvuvi 160 Tanzania nzima huku kanda ya ziwa wakipewa boti 15.

 
...Meli kubwa zinapita huko baharini kwenye kina kirefu wanabeba samaki wakubwa, hivyo viboti vyako vinaishia hapo Kidimbwi, matokeo yake wabongo tunaishia kula dagaa mchele waliokauka kama nyasi....
 
Back
Top Bottom