tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 84
Umeandika kishabiki au kiunamichezo?Umemsahau na Babu Erasto Nyoni, Babu Kagere, Babu Mzamiru, Babu Bocco....hawa jamaa hawana hadhi ya kuichezea simba kwa sasa
Wakati huo huo akina Sakho, Banda, Chama, Morrison na Kagere watakuwa wamesimamaSiku mtakayo cheza na Yanga pale nyuma pakipangwa vile, Wawa, Nyoni, Onyango, Mkude. Ndio Siku kocha atapo bebeshwa mabegi yake na kufukuzwa apo klabuni.
Yanga yenu hii imechangamka kwa timu ndogo!!!!! hata simba ikicheza kwa kiwango cha chini kiasi gani haiwezi kufungwa na utopolo..Siku mtakayo cheza na Yanga pale nyuma pakipangwa vile, Wawa, Nyoni, Onyango, Mkude. Ndio Siku kocha atapo bebeshwa mabegi yake na kufukuzwa apo klabuni.
Kagere Tena unamlaum wakat ndo alifunga goli zur na tam!!! Acha bangi zako bhana ustuletee hapaUmemsahau na Babu Erasto Nyoni, Babu Kagere, Babu Mzamiru, Babu Bocco....hawa jamaa hawana hadhi ya kuichezea simba kwa sasa
We kituko kweli goli la kichwa ndio tamu¿Kagere Tena unamlaum wakat ndo alifunga goli zur na tam!!! Acha bangi zako bhana ustuletee hapa
Vip mkuu mbna unanfuatilia na kunipingapnga Sana,??? Au bang lako umelielekeza kwangu nin!!!We kituko kweli goli la kichwa ndio tamu¿
Unawaza bang tu..poleVip mkuu mbna unanfuatilia na kunipingapnga Sana,??? Au bang lako umelielekeza kwangu nin!!!
Yanga (mama wa nyumbani) kwakweli ni kiboko ya kutoa vichapo kwa watoto nyumbani.Siku mtakayo cheza na Yanga pale nyuma pakipangwa vile, Wawa, Nyoni, Onyango, Mkude. Ndio Siku kocha atapo bebeshwa mabegi yake na kufukuzwa apo klabuni.
Kagere Tena unamlaum wakat ndo alifunga goli zur na tam!!! Acha bangi zako bhana ustuletee hapa