Wawajue Wahutu,Watutsi na Kagame in Rwanda

Wawajue Wahutu,Watutsi na Kagame in Rwanda

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
463
Reaction score
1,127
Jamani kwa mliotaka kujua historia ya rwanda na haya yanayotokea someni hapa kwa ufupi japo kwa watakaokuwa wanajua zaidi nitaomba waboreshe thread.

Wahutu,watusi na jamii ndogo ya watwa ndio wakazi wa asili wa rwanda.wahutu ambao ni wengi wakiwa ni wakulima na watusi ambao ni wachache wakiwa wafugaji.kwa miaka mingi jamii hizi ziliishi pamoja bila matatizo yoyote chini ya utawala wa kifalme wa kitutsi''umwami".

Utawala wa kikoloni ukaingia rwanda hivyo rwanda ikatawaliwa na wajerumani na baadaye wabelgiji. Kama mbinu ya utawala,wabelgiji wakaanzisha utawala wa "divide and rule" na ilikuwa simple kwao kufanya kazi na watutsi ambao ni wachache. Hivyo watutsi wakasomeshwa ili kusaidiana na wabelgiji katika utawala in the so called white collar job. Ikumbukwe utawala wa kikoloni ulikuwa na manyanyaso kama kufanyishwa kazi kwa nguvu kwenye mashamba,kodi ya kichwa na hata kuwachapa watu viboko.Hivyo basi watutsi walishiriki unyama huu bega kwa bega na wabelgiji dhidi ya wahutu. Sasa tofauti ya mhutu na mtusi ikawa wazi. Mtusi akawa anaonekana ni msomi na mtawala na mhutu ni mbumbumbu na mtawaliwa. Pia wabelgiji waliongeza tofauti nyingine ya kimaumbo,wakawapima watu pua kwa vernia carlipers ikaonekana mtusi ana pua ndefu nyembamba na mhutu pana na fupi. Pia watusi ni warefu wembamba na wahutu wanene wafupi. Ukiona mnyarwanda ni contrary na this morphology ujue ni hybrid ya mhutu na mtusi.

Kwa bahati mbaya sana,wakati rwanda inapata uhuru,wabelgiji wakakabidhi madaraka kwa wahutu majority. Wahutu wakaitumia hiyo fursa kuwanyanyasa watusi kama kisasi kwa walichofanyiwa na watusi kipindi cha utawala wa kikoloni. Hali ilikuwa mbaya na watusi wakakimbilia nchi za jirani mainly uganda,zaire ya wakati ule na tanzania. Hii ilikuwa miaka ya 1950's(ikumbukwe familia ya kagame ilitorokea uganda mwaka 1959 kagame akiwa na miaka miwili tu) wahutu waliobaki rwanda wakajiapiza kutowaruhusu watusi kutawala tena rwanda na kikaundwa kikosi kazi maalumu kilichoitwa "AKAZU" ambacho kilikuwa kinapanga mhutu wa kuwa madarakani na kilichokuwa kinaenjoy grean pastures ya utawala wa kihutu rwanda. Hata mke wa raisi Abyarimana(Agathe Abyarimana) alikuwa ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi ndani ya akazu. Hili kundi lilijumuisha military exparts,politicians and the like.

In 1980's tutsis living in exile formed a unity to reclaim their homeland. Hapa yalitotea mapigano lakini wahutu wakisaidiwa na majeshi ya ufaransa managed to repell the invation(kumbuka france was an actor in rwanda genocide that is why ilichukua mda mahusiano ya rwanda under kagame na france to strengthen)

Bila kukata tamaa,from their base in uganda watusi walianzisha gazeti liitwalo "KANGUKA" meaning "wake up" likiwaamsha watusi kurudi nyumbani.wakati huohuo likaundwa jeshi chini ya Kagame(RWANDA PATRIOTIC FRONT) na miaka kati ya 89 na 90 mapambano yakawa makali.kumbuka rpf walikuwa wanaingilia kaskazini mwa rwanda tokea uganda.

Kama kujibu mapigo wahutu wakaanzisha gazeti"KANGURA" meanini "wake others up"(usichanganye na KANGUKA) mhariri wa gazeti bwana HASSAN NGEZE alichapa ukurasa wa mbele "BATUTSI BWOKO BW'IMWAMI"ikiwa ni kauli ya kuwabeza watusi walikuwa wanajiita"GOD'S RACE".pia kulikuwa na picha ya panga na maandishi"which weapon shall we use?" Hili ndio gazeti lililochapisha "Amri kumi za wahutu" na amri ya saba ilisema"RWANDESE ARMY SHALL BE EXCLUSIVELY HUTU,NO MEMBER OF MILITARY SHALL MARRY A TUTSI"
mambo yakawa yamepamba moto watu wangu.

Deadly massacre was then inevitable mpaka external world kupitia Tanzania waka arrange power sharing agreement in what was termed as "Arusha Accords". Raisi Abyarimana na RPF wakaitwa kwenye meza ya mazungumzo ya amani na wapiganaji wakaambiwa wa"cease fire"

Abryarimana akiwa Tanzania,the hard line hutus in Rwanda planned one of the most terrifying genocide in history. The hate broadcast radio RTML(Radio télèvision lible des mille collins) said their president has become weak and has made many concessions under foreign pressure and that he has signed agreements that gave much power to the tutsis. Hapa sasa wahutu wenye msimamo mkali wanaoenjoy utawala wa kihutu ndani ya rwanda "AKAZU" wakaona raisi anawasaliti wakaunda interahamwe militia wakisaidiana na jeshi la rwanda kuwashambulia watutsi.wakapanga mpango wa kumlipua abyarimana(ingawa watu wanasema RPF ndo walihusika). Mimi nimefatilia you tube video inayoelezea nani alimuua Abyarimana.loading...
 
Back
Top Bottom