Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaahhh hii ni kali aiseeeh Tz yetu haijafikia hapo ni aibu aisee.
Hahahaaaaa
Mtafika tu!! hizo kashfa za sijui TANAPA, Richmond n.k. halafu watu wanakua na jeuri ya kusema eti milioni kumi pesa za mboga tu. Unafikiria watu hufikia katika hali hii kivipi.
Hatutafikia hiyo extent yakulazana chini nakukwidana mashati mpaka mabukta na mavitambi yanaonekana we Tanzanians know how to control our rages in a civil way.
Yah kutwangana kupogo kila sehemu ndo mana nyie kwenye uchaguzi wenu walitokea hadi kina mungiki but mimi naongelea kupigana kwenye bunge tukufu au mabaraza ya wawakilishi kufikia hadi hatua yakulaza chini hivo nakumwagiana maji aiseee wakenya mmeshinda@MK254.
Kwanza ya bunge ndio huwa bora, nyie wapinzani wenu waoga eti wanatoka nje kama hawajaipenda hoja halafu CCM wanafurahia na kupitisha bila pingamizi. Kwetu huwa kinaeleweka, ngumi kwenda mbele hadi heshima inadumu.