Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Yanga wataanza kubeba tena madawa ya kulevyaArudi bila madawa ya kulevya
Mbona mhanga mwenzie kwenye hiyo tuhuma feki ya kubambikiziwa, Gwajiboy, saivi ni mbunge?Arudi bila madawa ya kulevya
Arudi bila madawa ya kulevya
Mbona munakuwa mabwege kiasi hiki? UKweli umeupata wapi? Umemsahau muda mfupi huu? Foooool!Ni ukweli ulio wazi kwamba shutuma nyingi za manji zilikuwa ni zengwe tu na kama vile mkomeshe akome, kama alikosea mahali ameshajifunza, asahau yote na asamehe aanze upya.
asikudanganye mtu huyo jamaa ni fisadi na mdawa wa kulevya mzuri.Ni ukweli ulio wazi kwamba shutuma nyingi za manji zilikuwa ni zengwe tu na kama vile mkomeshe akome, kama alikosea mahali ameshajifunza, asahau yote na asamehe aanze upya.
Upo sahihi mkuuNi ukweli ulio wazi kwamba shutuma nyingi za manji zilikuwa ni zengwe tu na kama vile mkomeshe akome, kama alikosea mahali ameshajifunza, asahau yote na asamehe aanze upya.
Ni uonevu tu wa kipuuziMbona mhanga mwenzie kwenye hiyo tuhuma feki ya kubambikiziwa, Gwajiboy, saivi ni mbunge?
Hebu rudia tenaKaribu sana Yusuph Manji na Wadau wengine ambao iliwabidi muondoke nchini kutokana na kuwa na mazingira magumu wakati ule.
Sasa kumenoga. Tumempata Rais ambaye hana neno na mtu. Mpole,mama na dada pia. Huu ni wakati wa kurudisha kile kilichopotea.
Na watu wengine mlio nje njooni mje muwe wawekezaji hii nchi ina mali ambazo zinapaswa kupakuliwa. Njooni watu walikuwa hawana kazi mje muwape kazi sasa.
Karibuni sana. Na ASANTENI KWA KUJA.
Nduli ameondoka sasa mambo swari,Karibu sana Yusuph Manji na Wadau wengine ambao iliwabidi muondoke nchini kutokana na kuwa na mazingira magumu wakati ule.
Sasa kumenoga. Tumempata Rais ambaye hana neno na mtu. Mpole,mama na dada pia. Huu ni wakati wa kurudisha kile kilichopotea.
Na watu wengine mlio nje njooni mje muwe wawekezaji hii nchi ina mali ambazo zinapaswa kupakuliwa. Njooni watu walikuwa hawana kazi mje muwape kazi sasa.
Karibuni sana. Na ASANTENI KWA KUJA.
Manji ni Fisadi na Mtuhumiwa wa Madawa ya KulevyaNduli ameondoka sasa mambo swari,