Mimi nafuga Mbuzi wa nyama, nilianza hawa wakawaida sasa naanza kuweka hawa Galla kwaajili ya Nyama. Nilianza wale wa Maziwa lakini niliwatoa kwasababu ya ufugaji wao unahitaji uangalifu mkubwa sana.
Pia nafuga na Bata, Bukini na Mallad, na Bata wa kawaida.
kuhusu wawekezaji wakubwa mnaweza waangalia Mbogo Ranches wao wamewekeza vyema katika ufugaji wa Ngombe na Mbuzi.
..mbogo ranches wako vizuri sana sana. nimeangalia mifugo yao kwa kweli they know what they are doing.
..mbuzi aina ya Galla unawanunua wapi? nimefanya utafiti nadhani ni mbegu nzuri inayoweza kuhimili mazingira ya Tanzania.
Galla goat is an indigenous to Northern Kenya. It is also known as the Boran or Somali goat. It's the milk queen of the Kenyan arid and semi arid areas. The female is about 60cm wide at the shoulders and weighs 45-55kgs...mbogo ranches wako vizuri sana sana. nimeangalia mifugo yao kwa kweli they know what they are doing.
..mbuzi aina ya Galla unawanunua wapi? nimefanya utafiti nadhani ni mbegu nzuri inayoweza kuhimili mazingira ya Tanzania.
Soko lake likoje hapa nyumbani?
Galla goat is an indigenous to Northern Kenya. It is also known as the Boran or Somali goat. It's the milk queen of the Kenyan arid and semi arid areas. The female is about 60cm wide at the shoulders and weighs 45-55kgs.
Kwa Tanzania sijajua , maana wengi wanafuga Boer (American breed..but where can I buy them in Tanzania?
..I have researched on boer, kalahari, na savannah, and their price is too steep for me.
..Galla kama alivyosema Use brain Heriel ni mbuzi ambao asili yao ni North Kenya na Somalia.
..hawa mbuzi huwa ni wakubwa kuliko mbuzi wetu wa kienyeji, pia nimesikia wanatabia ya kuzaa mapacha.
..sifa nyingine ya Galla ni kuhimili magonjwa na mazingira magumu ya malisho.
..kwa utafiti wangu nimewaona zaidi Kenya, lakini pia nimesikia kwa hapa nyumbani wanafugwa na jamii ya Wamassai.
..sifahamu soko lao likoje hapa nyumbani, lakini kutokana na sifa zao nashawishika kuamini kuwa ukiwa nao unaweza kuuza kwa bei nzuri.
Boer wapo na wengi wanaagiza toka south Africa, shida nikama hiyo uliyo isema hapo juu bei yao iko juu sana sasa kwa sisi wafugaji wachanga inakuwa changamoto sana kuanza nao. Mimi ningelsahuri anae taka kufuga Mbuzi kwanza aanze na hawa wakawaida halafu atafute Dume la Galla/Isiolo hapo atapata matokeo mazuri, na pia ukipata Galla/Isiolo jike na Dume inapendeza zaidi, mradi ukikuwa nenda sas kwa Boer na Savanna maana hao kwa ujazo wa nyama ndio funga kazi.Kwa Tanzania sijajua , maana wengi wanafuga Boer (American breed
Ambao bei imechangamka Kama ulivyosema.
Ngoja tusubiri wadau tunaweza kujua Kama wanapatikana au la.
Kwakweli niseme tu ukweli ufugaji wa Mbuzi ni njia bora sana ya kuweza kutuingizia kipato hasa ukifuga kwa njia stahiki, Mbuzi ni kitoewo kinacho hitajika kila mara. kwmfano mimi nakaa kibamba pale huwa tuna mnada wa kila jumamosi, jumapili, na jumatano nahapo Mbuzi na kondoo huchinjwa kila uchwao.
Nakuna taasisi ya serekali inaita TANCO kama sijakose ipo msoga imeanza taratibu juu ya usindikaji wa nyama ya Mbuzi.
Napia huwakuna warabu wanakuja kuchukuwa nyama ya mbuzi, sasa hapo jukumu kubwa la wafugaji ni kujua jinsi ya kutengeneza viwango bora vya nyama.
Mubende niliwahi kuwasikia na kuwaona wakati nakaa Uganda...umewahi kuwasikia mbuzi wenye asili ya Uganda wanaitwa mubende?
..unafahamu kama kuna wafugaji hapa Tanzania wanawafuga mbuzi hao?
..Je, Mbongo ranches wanauza mbuzi aina ya savanna wanaotoka South Africa?
NB:
..pia kuna jamaa ameniambia eti Boer ni wazembe ktk kupanda. eti ukiweka beberu la boer na kienyeji, unaweza kujikuta una watoto wengi wamezaliwa na mbuzi wa kienyeji. pia anasema kwamba boer anazidiwa na savanna kwenye kuchangamkia mbuzi jike.🤣
Kuna mzigi unaitwa Galla huyo ni balaa kwa kupanda aka Super charger 🤣 🤣..umewahi kuwasikia mbuzi wenye asili ya Uganda wanaitwa mubende?
..unafahamu kama kuna wafugaji hapa Tanzania wanawafuga mbuzi hao?
..Je, Mbongo ranches wanauza mbuzi aina ya savanna wanaotoka South Africa?
NB:
..pia kuna jamaa ameniambia eti Boer ni wazembe ktk kupanda. eti ukiweka beberu la boer na kienyeji, unaweza kujikuta una watoto wengi wamezaliwa na mbuzi wa kienyeji. pia anasema kwamba boer anazidiwa na savanna kwenye kuchangamkia mbuzi jike.🤣
mkuu kumbe kuna mbuzi wa nyama, nimepambana kutafuta juu ya ufugaji wa mbuzi wa nyama lkn sijafanikiwa. naomba kama una taarifa zaidi kuhusu hao "galla" ushare zaidi ikiwezekana ranch au mahali wanapopatikana na ABC zake jinsi ya kuwafuga mpaka kupata matokeo mazuri. ahsanteMimi nafuga Mbuzi wa nyama, nilianza hawa wakawaida sasa naanza kuweka hawa Galla kwaajili ya Nyama. Nilianza wale wa Maziwa lakini niliwatoa kwasababu ya ufugaji wao unahitaji uangalifu mkubwa sana.
Pia nafuga na Bata, Bukini na Mallad, na Bata wa kawaida.
kuhusu wawekezaji wakubwa mnaweza waangalia Mbogo Ranches wao wamewekeza vyema katika ufugaji wa Ngombe na Mbuzi.
Kuhusu Galla nilishaelezea wana patikana umasaini na bei zao ni kuanzia sh laki 5 mpaka laki 3. Madume ndio wanauzwa bei kubwa sana majike wanazia laki 3 mpaka 2.5.mkuu kumbe kuna mbuzi wa nyama, nimepambana kutafuta juu ya ufugaji wa mbuzi wa nyama lkn sijafanikiwa. naomba kama una taarifa zaidi kuhusu hao "galla" ushare zaidi ikiwezekana ranch au mahali wanapopatikana na ABC zake jinsi ya kuwafuga mpaka kupata matokeo mazuri. ahsante
ahsante, na mimi niko arusha naomba kujua shamba lako liko wapi ili ikifika muda wa kuwanunua nipitie kwako kupata mbegu halisi. unaweza kunipm mkuuKuhusu Galla nilishaelezea wana patikana umasaini na bei zao ni kuanzia sh laki 5 mpaka laki 3. Madume ndio wanauzwa bei kubwa sana majike wanazia laki 3 mpaka 2.5.
katika wafugaje wenzangu kunaambae yupo Arusha ndio tumemfanya kama Agent wetu huwa anakwenda huko Longido na kutununulia na kuwasafirisha kuja ulipo.
Galla ni Mbuzi ambae ni mvumilivu sana kwa magonjwa na hali ya ukame maana asili yao ni hiyo kutokea Somalia, ukuwaji wao ni waharaka sana na hasa akija ukanda wetu wenye malisho mazuri ukuwaji wake ni wa haraka na anajaa nyama vyema, uwezo wao wa kuzaa ni mkubwa na usio na mushkeri kama Mbuzi wengine hasa hawa mbegu za kigeni, na utakapo mcross na Mbuzihawa wa kienyeji amahakika unapata matokeo mazuri sana. Zaidi karibu Kibamba tutasaidiana kujifunza zaidi.
Mimi nipo Dar na nafugia huku ila kuna mwenzangu shamba lake lipo Handeni na anakaa arusha nitakutumia mawasiliano yake pm atakusaidia.ahsante, na mimi niko arusha naomba kujua shamba lako liko wapi ili ikifika muda wa kuwanunua nipitie kwako kupata mbegu halisi. unaweza kunipm mkuu