greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kwa zaidi ya 70% uwekezaji uliopo katika soko kuu la hisa Dar es salaam ni kutoka nje ya nchi...Taasisi au watu binafsi.
uwekezaji wa ndani bado ni mdogo kwani 0.3% ndiyo wenye uelewa wa soko la mitaji.
Wafuatao ni Watanzia wanaongoza kwa uwekezaji mkubwa katika soko la hisa la Dar.
1. Patrick Schegg
Kiasi alichowekeza: $23.5-million
Amewekeza: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC
2. Aunali Rajabali
Kiasi alichowekeza: $23.4-million
: NMB Bank PLC
Mmiliki wa Kampuni ya rangi ya Plasco Tanzania
3. Sajjad Rajabali
Kiasi alichowekeza: $23.4-million
NMB Bank PLC
4. Hans Macha
Amewekeza DSE: $6.4-million
: CRDB Bank
5. Ernest Massawe
Alichowekeza DSE: $5.3-million
: TOL Gases Limited,32%
6. Murtaza Nasser
alichowekeza DSE: $2.7-million
Tanzania Portland Cement
7. Sayed Kadri
Alichowekeza DSE: $2.1-million
Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited
8. Said Bakhresa
Kiasi alichowekeza DSE: $1.5-million
: Tanzania Portland Cement
9. Arnold B.S Kilewo
Alichowekeza DSE: $1.1-million
5.68% TOL Gases, 0.013% Tanzania Breweries
10. Harold Temu
Alichowekeza DSE: $$720,000
: TOL Gases
Source: Billionaires. Africa
citizen
hapo utagundua
uwekezaji wa ndani bado ni mdogo kwani 0.3% ndiyo wenye uelewa wa soko la mitaji.
Wafuatao ni Watanzia wanaongoza kwa uwekezaji mkubwa katika soko la hisa la Dar.
1. Patrick Schegg
Kiasi alichowekeza: $23.5-million
Amewekeza: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC
2. Aunali Rajabali
Kiasi alichowekeza: $23.4-million
: NMB Bank PLC
Mmiliki wa Kampuni ya rangi ya Plasco Tanzania
3. Sajjad Rajabali
Kiasi alichowekeza: $23.4-million
NMB Bank PLC
4. Hans Macha
Amewekeza DSE: $6.4-million
: CRDB Bank
5. Ernest Massawe
Alichowekeza DSE: $5.3-million
: TOL Gases Limited,32%
6. Murtaza Nasser
alichowekeza DSE: $2.7-million
Tanzania Portland Cement
7. Sayed Kadri
Alichowekeza DSE: $2.1-million
Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited
8. Said Bakhresa
Kiasi alichowekeza DSE: $1.5-million
: Tanzania Portland Cement
9. Arnold B.S Kilewo
Alichowekeza DSE: $1.1-million
5.68% TOL Gases, 0.013% Tanzania Breweries
10. Harold Temu
Alichowekeza DSE: $$720,000
: TOL Gases
Source: Billionaires. Africa
citizen
hapo utagundua
- watanzania weupe (waarabu na wahindi),hawana masihala kwenye kuwekeza.kwa maana hadi katika soko la hati fungani wao ndiyo vinara,sisi tupo kwenye ''UBAYA UBWERA"
- Wachagga ndiyo kabila lililoshtukia faida ya uwekezaji kwenye soko la mitaji
- Makabila mengine humu ndiyo vinara wa kupinga kila kitu.