Wawekezaji wa ndani wakubwa katika soko la hisa la Dar es salaam DSE

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Kwa zaidi ya 70% uwekezaji uliopo katika soko kuu la hisa Dar es salaam ni kutoka nje ya nchi...Taasisi au watu binafsi.
uwekezaji wa ndani bado ni mdogo kwani 0.3% ndiyo wenye uelewa wa soko la mitaji.
Wafuatao ni Watanzia wanaongoza kwa uwekezaji mkubwa katika soko la hisa la Dar.

1. Patrick Schegg
Kiasi alichowekeza: $23.5-million
Amewekeza: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC

2. Aunali Rajabali
Kiasi alichowekeza: $23.4-million
: NMB Bank PLC
Mmiliki wa Kampuni ya rangi ya Plasco Tanzania

3. Sajjad Rajabali
Kiasi alichowekeza: $23.4-million
NMB Bank PLC

4. Hans Macha
Amewekeza DSE: $6.4-million
: CRDB Bank

5. Ernest Massawe
Alichowekeza DSE: $5.3-million
: TOL Gases Limited,32%

6. Murtaza Nasser
alichowekeza DSE: $2.7-million
Tanzania Portland Cement

7. Sayed Kadri
Alichowekeza DSE: $2.1-million
Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited

8. Said Bakhresa
Kiasi alichowekeza DSE: $1.5-million
: Tanzania Portland Cement

9. Arnold B.S Kilewo
Alichowekeza DSE: $1.1-million
5.68% TOL Gases, 0.013% Tanzania Breweries

10. Harold Temu
Alichowekeza DSE: $$720,000
: TOL Gases

Source: Billionaires. Africa
citizen


hapo utagundua
  • watanzania weupe (waarabu na wahindi),hawana masihala kwenye kuwekeza.kwa maana hadi katika soko la hati fungani wao ndiyo vinara,sisi tupo kwenye ''UBAYA UBWERA"
  • Wachagga ndiyo kabila lililoshtukia faida ya uwekezaji kwenye soko la mitaji
  • Makabila mengine humu ndiyo vinara wa kupinga kila kitu.
 
Huyo massawe history yake ya msisha unayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…