REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Kenya inazidi kunoga katika rank ya failed states ulimwenguni, katika hali ambayo Kenya inatajwa kwamba ni kati ya nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ombwe kubwa la majobless wasio na uhakika wa kesho yao mpaka kupelekea wengi wao kuwa watumwa uarabuni huku wakipitia unyanyasaji wa kutisha kabisa, bado hata kile kidogo walichonacho na chenyewe kinaota mbawa
Ufisadi wa kutisha nayo ni moja kati ya vikorombwezo vinavyoinogesha failed Kenya, Eeh Mungu saidia wanao! Kenya tayari ni mfupa lakini bado kuna fisi zinaugombania
Where's your education?
Where's your democracy?
Where's your capitalism?
Shithole at it's epic