cuddlez Member Joined Mar 28, 2016 Posts 9 Reaction score 1 Jun 24, 2024 #1 Serikali iruhusu wawekezaji wawekeze wanashindwa ku operate vivuko, kwa sasa kivuko ni kimoja vya azam vinafanya kazi kwa muda mchache kutokana na makubaliano yao. Kero ni kubwa mno inakugarimu saa moja kutoka upande mmoja mpaka mwingine! PIA SOMA Vivuko vimekuwa kero, wanatoa taarifa za ghafla kuwa hamna huduma Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa
Serikali iruhusu wawekezaji wawekeze wanashindwa ku operate vivuko, kwa sasa kivuko ni kimoja vya azam vinafanya kazi kwa muda mchache kutokana na makubaliano yao. Kero ni kubwa mno inakugarimu saa moja kutoka upande mmoja mpaka mwingine! PIA SOMA Vivuko vimekuwa kero, wanatoa taarifa za ghafla kuwa hamna huduma Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Nov 7, 2024 #2 kabisa mkuu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 7, 2024 #3 Watendaji watataka 10%