Wawekezaji waliokimbia au walioingia nchini ndani ya miaka 3 ya Magufuli

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,554
Maeneo mengi nasoma juu ya hali ngumu kwa wawekezaji, mara hali mbaya kiuchumi, usalama nk

Hebu naombeni tuweke vivid examples za makampuni/wawekezaji walioamua kuondoka TZ na ku relocate maeneo mengine nje ya Tz kutokana na hali ya nchi kwa sasa in geneal ndani ya miaka 3 ya JPM

Vilevile ni wawekezaji wapi wapya wamekuja baada ya JPM kuingia madarakani
 
Ni makampuni au wawekezaji wa level zipi? Kuna definitions nyumbulishi za maana ya mwekezaji zimetolewa ktk awamu hii. Mfano, ukiwa na cherehani 4 wewe ni mwekezaji kamili sekta viwanda. Je, katika levels kama hizi unafikiri ni rahisi kuwajua wote. Pili, ukienda mji kama Tunduma utapata picha kamili hasahasa ukivuka ng'ambo ya Zambia ( Mbala, Mpulungu, Lusaka nk.), Hali kadhalika, ukifika Mtukula, au Sirari na maeneo kama Namanga,waweza pata data hizi, hasa inflow na outflow ya wafanyabiashara na wawekezaji wadogowadogo.
 
Wale ambao ni notable, hatuwez sema cherahani nne ni kiwanda kwa kweli, lakini walau vile vyenye uwezo wa kuajiri watu wasipungua 50, kuanzia viwanda vidogo hadi vikubwa
 
Huwezi pewa jibu zaidi ya matusi
Sijui kwanini watumiaj wengi wa Jf wana lugha kali sana na matusi
Mengi yanazungumzwa juu ya hawa wawekezaji lakini hatuwajui,unaskia tu wawekezaj sjui wanakimbia
 
Draft
 
Yaani policies za magu hazifanyi kazi, ili zifanye kazi hao ng'ombe inatakiwa wageuke nyuma walime,instead wanamshangaa tu, nahis hao ng'ombe sjui ni sisi[emoji22][emoji22]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Asante mkuu, Hatutaki kuwa manyumbu nahatugeuki ngh'ooo ,maana huyu Jamaa ni kisanga.
 
Sijui kwanini watumiaj wengi wa Jf wana lugha kali sana na matusi
Mengi yanazungumzwa juu ya hawa wawekezaji lakini hatuwajui,unaskia tu wawekezaj sjui wanakimbia
Mmeweka sheria ya Takwimu inayo tutakataza kusema, je atakae weka hapa hizi takwimu hapa hamta wafunga?
 
Duh hakuna hata mmoja aliyetaja, Wabongo ni noma! Ila utawaskia wawekezaj wanakimbia, haya watajeni sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…