hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 677
Hakuna ambae anagoma kulip kodiHakuna Cha Hali ngumu Wala Nini, wanagoma kulipa kodi halali.
Hii sio takwim, ni kusema flani alikuepo ila kaondoka, flani ni muwekezaji mpya kaja, basiMmeweka sheria ya Takwimu inayo tutakataza kusema, je atakae weka hapa hizi takwimu hapa hamta wafunga?
Na mm ndicho nachotaka, maana naskia wanakimbia, tukipeana mifano halisi italeta maana zaidiDuh hakuna hata mmoja aliyetaja, Wabongo ni noma! Ila utawaskia wawekezaj wanakimbia, haya watajeni sasa
Kuliko kua msaidizi wa hivo ni heri kuachia ngaziKuna mengi hapo, washauri yawezekana pia wakawa ndo hao hao waochezea mijeredi kulazimishwa wafuate muelekeo Wa mshika mjeredi
Home shopping center wanaondoka??? Hilo jina la hyo kampuni nakuomba litafteasante home shopping center kwa kuunogesha huu uzi.
kuna wale jamaa wa kampuni ya mafuta jina nimelisahau hawapo nchini kiuwekezaji.
tembelea migodini ili upatejibu kamili la maswali yako
Mkichwa wako MTUPU sana. Kwani aliyekwambia viwanda vipya vimefika 3306 alikutajia majina na location zake?Duh hakuna hata mmoja aliyetaja, Wabongo ni noma! Ila utawaskia wawekezaj wanakimbia, haya watajeni sasa
Wawekezaji ndo wanalazimishwa wafuate mashariti yake Jamaa.Kuliko kua msaidizi wa hivo ni heri kuachia ngazi
Mkuu ndo tunavitafta hivyo kama unavufahama naomba tuwekee hapaMkichwa wako MTUPU sana. Kwani aliyekwambia viwanda vipya vimefika 3306 alikutajia majina na location zake?
Ng'ombe wanarembua![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 940749
maranyingi ukona mfanyabishara kauza hisa zotena mwekezaji mkubwa jua kaangalia mbali, ila kikubwa ni maslahiAmeuza hisa zake za vodacom, lakini ni kutaka kuwekeza sehemu nyingine tofaut na tz??
Waziri alisema, cherehani 4 ni kiwanda; so, which fact should be trusted, yours or the ministerial hiphop?Wale ambao ni notable, hatuwez sema cherahani nne ni kiwanda kwa kweli, lakini walau vile vyenye uwezo wa kuajiri watu wasipungua 50, kuanzia viwanda vidogo hadi vikubwa
Home shopping mbona wapo bado! Hebu kuwa seriousasante home shopping center kwa kuunogesha huu uzi.
kuna wale jamaa wa kampuni ya mafuta jina nimelisahau hawapo nchini kiuwekezaji.
tembelea migodini ili upatejibu kamili la maswali yako
Daa kaz kweli kweli, hakua siriaz banaWaziri alisema, cherehani 4 ni kiwanda; so, which fact should be trusted, yours or the ministerial hiphop?
kwan nimesema wameondokaHome shopping mbona wapo bado! Hebu kuwa serious