Wawekezaji wengi hawaji na fedha kutoka kwao bali wanakopa kwenye haya haya mabenk yetu

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.

Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
 
Mkuu....

Ni juzi tu "think tanker" wetu mjomba Paschal Mayalla alipendekeza njia za kupita ili tuzidi kuuinua UCHUMI WETU....alisema hivi:

Kwa kuwa WALIPA KODI hawazidi milioni 3 basi serikali ipunguze msururu wa kodi na kutengeneza mazingira ya kuongeza walipa kodi kwa makadirio ya kila shughuli wanazofanya wajasiriamali...kuanzia mama Ntilie ,Street Vendors na wengineo....

Narudi katika hoja yako....

Hawa wageni wanatumia udhaifu wetu wa Tanzania kwa sababu ya hulka ya KUTOLIPA KODI(raia walio wengi hawana uchungu wa kodi).

Siku kukiwa na MAZINGIRA mapya ya kulipa kodi ,hapo MAARIFA juu ya FEDHA yatatuongezekea....na hapo watanzania wengi wataanza kuyafanya hayo wanayofaidi WAGENI kwa kipindi hichi....

NJIA NI HIYO TU.

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Nenda wewe na kila nyaraka sasa za kukuwezesha kupata mkopo uone.

Sisi ngozi nyeusi ni laana tupu. Nahisi tulitengenezwa na upande wa material ya pumbu na makalio, maana akili na roho zetu zimekaa ki makende makende na kimavi mavi.

Maponjoro wanakuja na idea zao tu, pesa wanazikuta huku huku. Wakivuna, wana file bankruptcy wanasepa na kurudi tena kwa jina jingine na kuendeleza mzunguko huo huo.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.
Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Andika mpango wako wa wazo lako la biashara yaani fanya nakosa kwenye karatasi ukiwa na mpango wako mzuri wa biashara hakika huwezi kukosa mkopo lakini kuanzisha biashara hakuhitaji pesa hapa watu wengi watabisha
 
Tuambiane ukweli,
Wabantu hatujazoea kuishi katika systems na kuchukulia commitment zetu serious ndio maana leo hii kuna majukwaa ya online mengi ya kutoa mikopo, yamepigwa kwa sababu kulipa madeni ni kitu hatuna tu hata kwenye maisha ya kawaida.

Kingine ni ile hali ya sisi kujiona inferior na kuona wageni kama watu wenye "utajiri" Na superior dhidi yetu.

Kwa hiyo cha kwanza "weusi" tuanze kuwa serious na kurudisha marejesho lakini pia tuanze kujaliana wenyewe. Muwekezaji si lazma atoke nje hivyo, tujaliane pale tunapopata fursa ya kuinuana
 
Kiukweli wanakuja na mitaji yao kwa kuanzia ila kwenye kudevelop ndio wanachukua mikopo humuhumu kwetu
Ya kuanzia kama kiasi gani?
Kwasababu hata malighafi wanatumia za kwetu. Wanasaga mawe yetu, wanatengeneza meza wanatuuzia.

Wanakata miti yetu, wanachonga toothpicks wanatuuzia.
Wanachukua pamba yetu, wanatengeneza nguo made from china, wanakuja kutuuzia.

Wanakusanya taka ngumu kama chupa za plastic tulizotumia sisi wanatengeneza mapambo wanatuuzia. Fedha zetu zinakwenda kwao. Sisi tunabaki na umaskini wetu.

Tungekuwa na nia ya dhati ya kujikomboa kiuchumi kama taifa,; tungeachana na miradi mingine isiyo na tija, tukajenga kwanza viwanda. Tungeweza kutumia hata umeme wa jua. Kuliko kupambana na ujenzi wa madarasa ambayo wanaohitimu hawapati ajira
 
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.

Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Tunajiroga sisi wenyewe kwa kuwaweka viongozi wajinga madarakani
 
Tuambiane ukweli,
Wabantu hatujazoea kuishi katika systems na kuchukulia commitment zetu serious ndio maana leo hii kuna majukwaa ya online mengi ya kutoa mikopo, yamepigwa kwa sababu kulipa madeni ni kitu hatuna tu hata kwenye maisha ya kawaida.

Kingine ni ile hali ya sisi kujiona inferior na kuona wageni kama watu wenye "utajiri" Na superior dhidi yetu.

Kwa hiyo cha kwanza "weusi" tuanze kuwa serious na kurudisha marejesho lakini pia tuanze kujaliana wenyewe. Muwekezaji si lazma atoke nje hivyo, tujaliane pale tunapopata fursa ya kuinuana
Ukweli mzito, hata kimtaa mtaa kukopesha ni uadui
 
Mkuu....

Ni juzi tu "think tanker" wetu mjomba Paschal Mayalla alipendekeza njia za kupita ili tuzidi kuuinua UCHUMI WETU....alisema hivi:

Kwa kuwa WALIPA KODI hawazidi milioni 3 basi serikali ipunguze msururu wa kodi na kutengeneza mazingira ya kuongeza walipa kodi kwa makadirio ya kila shughuli wanazofanya wajasiriamali...kuanzia mama Ntilie ,Street Vendors na wengineo....

Narudi katika hoja yako....

Hawa wageni wanatumia udhaifu wetu wa Tanzania kwa sababu ya hulka ya KUTOLIPA KODI(raia walio wengi hawana uchungu wa kodi).

Siku kukiwa na MAZINGIRA mapya ya kulipa kodi ,hapo MAARIFA juu ya FEDHA yatatuongezekea....na hapo watanzania wengi wataanza kuyafanya hayo wanayofaidi WAGENI kwa kipindi hichi....

NJIA NI HIYO TU.

#Nchi Kwanza[emoji7]
Kwanini isiwe ni serikali kupunguza matumizi? Rais anapata mshahara na katika mshahara huo anaweza kukatwa paye, akalipia huduma ya mawasiliano, chakula, mavazi na hata usafiri nje ya majukumu ya kiofisi. Nchi maskini lakini kuanzia rais, makamu wa rais, waziri mkuu, spika na naibu spika, jaji mkuu na wastaafu wa ngazi za juu wote wanahudumiwa bure na kila mwisho wa mwezi wanapata mishahara na marupu rupu mengine bado kuna wenza wa wastaafu. Hapo kwa mwezi ni mabilioni ya pesa yanatumika kuwahudumia wakati walipa kodi wako wachache.
 
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.

Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Kwani mtu unakopa bila dhamana?, hata wao wanakopa bila dhamana?, hiyo dhamana wanayokuja nayo ndio pesa yenyewe sasa…
 
Mkuu....

Ni juzi tu "think tanker" wetu mjomba Paschal Mayalla alipendekeza njia za kupita ili tuzidi kuuinua UCHUMI WETU....alisema hivi:

Kwa kuwa WALIPA KODI hawazidi milioni 3 basi serikali ipunguze msururu wa kodi na kutengeneza mazingira ya kuongeza walipa kodi kwa makadirio ya kila shughuli wanazofanya wajasiriamali...kuanzia mama Ntilie ,Street Vendors na wengineo....

Narudi katika hoja yako....

Hawa wageni wanatumia udhaifu wetu wa Tanzania kwa sababu ya hulka ya KUTOLIPA KODI(raia walio wengi hawana uchungu wa kodi).

Siku kukiwa na MAZINGIRA mapya ya kulipa kodi ,hapo MAARIFA juu ya FEDHA yatatuongezekea....na hapo watanzania wengi wataanza kuyafanya hayo wanayofaidi WAGENI kwa kipindi hichi....

NJIA NI HIYO TU.

#Nchi Kwanza
emoji7.png
Unawajua TRA na vishoka wao wewe? Wangekuwa wanakusanya hadi wanchoforce milungula nchi yako ingekua mbali sana
 
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.

Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Nan anawapa mkopo bila dhamana? Yaan upewe mkopo kisa mzungu🙄🙄
 
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.

Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Ni njia moja wapo ya kujihakikihishia biashara inayoanzishwa na raia wa kigeni haiguswi hovyohovyo ni finance strategy tu
 
Ya kuanzia kama kiasi gani?
Kwasababu hata malighafi wanatumia za kwetu. Wanasaga mawe yetu, wanatengeneza meza wanatuuzia.

Wanakata miti yetu, wanachonga toothpicks wanatuuzia.
Wanachukua pamba yetu, wanatengeneza nguo made from china, wanakuja kutuuzia.

Wanakusanya taka ngumu kama chupa za plastic tulizotumia sisi wanatengeneza mapambo wanatuuzia. Fedha zetu zinakwenda kwao. Sisi tunabaki na umaskini wetu.

Tungekuwa na nia ya dhati ya kujikomboa kiuchumi kama taifa,; tungeachana na miradi mingine isiyo na tija, tukajenga kwanza viwanda. Tungeweza kutumia hata umeme wa jua. Kuliko kupambana na ujenzi wa madarasa ambayo wanaohitimu hawapati ajira
Mimi nimefuatilia nimegundua kwamba tatizo liko kwenye jamii , tuna jamii ya kupokea tu hata kama hicho tunacho letewa hakina tija yaani jamii ya bora liende, tutaishi kwa matumaini hadi lini?
 
Back
Top Bottom