Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Nyimbo mbaya tu. Wanatumia hela nyingi kushoot video.

Ukiuliza atakwambia katumia milion 20. Wakati kwa wimbo huo alistahiri kutumia milioni mbili.
Wee endelea kusikiliza singeli zako bhana.
 
Bro Makini Mzee wa good music!

Lakini Sialishajipambanua vyema kama yeye ni mtu wa good music,
Nyakati zinatambaa kama kasi ya kimbuga.Joh huyu sio wa"Wameinama wameinuka wanaona haya wote wamefanya wao"

Ngoma hii itapenya wabongo wasasa si wakale,watu wengi wazito vitu laini-laini ndiyo saizi Yao.

-SOKO na PESA vinawatesa ndio maana wasanii wengi sasa wanachekesha!
 
Ngoja wakahonge media uone kama next week haipo top 20
 
BASI HUJUI MUZIKI BORA UKAE KIMYA,WIMBO ULIOMUWEKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI MPAKA AKAWA GUMZO NI STIMU ZIMELIPIWA
Hahaha unajia aibu.

Hawapendi na Hao ndiyo nyimbo za kwanza zilizomuweka Joh kwenye ramani.

Mkuu umezaliwa mwaka 2000?
 
nasikia fid kaibeba hii ngoma!
joh anatia huruma kwa kweli anahitaji kushikwa mkono akubali tu hii ngoma mbaya
 
huyu jamaa ana english ya mwendo kasi hatari.... "ekskyuuuuz mi ken ai get yua namba.... Ama gona lachya"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kimekuja na meli hicho , so eskyuuuuz him [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
clouds xxl mbona waliifurahia na kupiga kelele sana?
 
Yawezekana wewe ni mgeni au sio mbobezi wa maswala ya promotion na PR! au hujui ni kwa kiasi gani mlaji wa bidhaa Fulani hulazimishwa kuila hata kama huduma ni mbaya. Mfano mdogo tu, unadhani watu hawajui madhara ya mkorogo lakini kwa kuwa wanaaminishwa na matangazo kuwa uzuri au urembo ni weupe wanapigana vijembe kujibadilisha ngozi?...ukifatilia muziki hasa wa bongo flavor kuna nyimbo nyingi zina hit si kwa ubora wake Bali promotion yake. Na huu ndio ukweli ambao baadhi ya mashabiti wa mwamba wa kaskazi hatutaki kuamini kuwa wimbo huu ni MBOVU tena Mbovu mno, tutategemea promo ili uhit.bila "upendeleo maalumu" hauwezi kutrend hatawiki moja toka ameuachia
 
Kazingua alivyoimba ni bora angemuweka msanii aimbe kolas kajitahidi mana mshindan wake katóa nyimbo inaitwa nyimbo inaitwa kemosabe aeleweki fid mwisho wa siku kúishia kusifiwa tú na wahun
Kemosabe habari nyngne itege skio vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…