Waya (roller) unauzwa 2.5mm ni mita 50 mpya

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Ni mpya kabisa na shida sana ya pesa ni laki 1 na nusu (150,000) pungufu unaongea

NISHAUZAAAAAAAAAA
 
Hiyo ni extension wire? Sasa ulivyosema wire utadhani unaongelea bunda la wire wa kufanyia wiring ya umeme kwenye nyumba .
 
Hiyo ni extension wire? Sasa ulivyosema wire utadhani unaongelea bunda la wire wa kufanyia wiring ya umeme kwenye nyumba .
Sasa kiongozi nimetuma na picha kabisaaa hujaiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…