Wayahudi na umilikaji wa media nyingi duniani - Kunani nyuma yake?

Osaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
1,762
Reaction score
553
Umuhofia Kwenu wana JF!

Hivi ni bahati tu imetokea au ni mpango maalumu wa Zionists kumiliki utitiri wa media?

Ikiwa ni mpango maalumu basi Wayahudi wamejipanga vizuri kujua yale binadamu tunayofanya /kusudia kufanya, tunayoyafikiria /waza au tunayoyaamini kupitia TVs, Movies, Network system, na vyombo vya habari kwa ujumla wake.
 
Dhumuni ni kutawala Dunia katika nyanja zote,iwe kiuchumi,kitamaduni nk.
 
Wanamiliki medias zipi? Ungeainisha watu tungepata cha kuchangia.

mmmhhhh........km hujui medias wanazomiliki wayahudi basi utakuwa na shida fulani. Kwa ushauri we google utpata orodha nzima
 
mmmhhhh........km hujui medias wanazomiliki wayahudi basi utakuwa na shida fulani. Kwa ushauri we google utpata orodha nzima

mkuu kama unazijua wewe muhabarishe maana tuko wengi tunaosubiri jibu hili. NB: Usiamini sana google as your only source of proof, utalost sana
 
kwa hiyo....?!! ni swa na wajaluo dar ndiyo wachongaji mihuri mashuhuri....nayo iwe issue?
 
Hizo zote ulizotaja zipo USA, umejuaje km zinamilikiwa na Waisrael???
Njoo na hoja zenye ushahidi hapo utaeleweka dogo😎

Hakusema wa Israel Bali wayahudi, kwa mfano Robert Mudoch anayemiliki magazeti mengi ulimwenguni na Star TV nk. Hollywood most of the major film companies are owned by Zionist Jews.
 
Hakusema wa Israel Bali wayahudi, kwa mfano Robert Mudoch anayemiliki magazeti mengi ulimwenguni na Star TV nk. Hollywood most of the major film companies are owned by Zionist Jews.

Wayahudi ni Waisrael!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…