Wayahudi na umilikaji wa media nyingi duniani - Kunani nyuma yake?

Chanzo cha Wayahudi kuwa na nguvu sana duniani si mpango wowote maalum wa kutawala dunia.

Ironically, chanzo cha Wayahudi kuwa na nguvu duniani ni kubaguliwa kwao na utamaduni wao wa kusoma.

Ulaya, benki zilipoanzishwa ( Renaissance Italian city states of Florence, Venice and Genoa) mambo ya dini yalitawala sana.

Wakristo walichukulia mistari fulani ya biblia inayokataza kutoza riba katika kukopesha fedha kama inayokataza mkristo mzuri kuwa banker. Hivyo banking ikabaki kuwa ni kazi inayodharauliwa na kazi pekee ambayo Wayahudi waliachiwa kufanya.

Baada ya hapo Wayahudi wakawa na nguvu sana katika banking.

Utamaduni wao wa kusoma vitabu vya dini umewafanya wawe mahiri katika usomi, uandishi na media.

Pia, walivyouawa na NAZI , waliobaki wakawa na ushirikiano zaidi. Wengine wakasaidiana kuingia Uingereza na Marekani.

Fanya kazi, ushirikiano na wenzako, hata wewe unaweza kuanzisha jamii ya Watanzania walio mahiri.

Halafu wavivu waseme unataka kutawala dunia.
 
 
 
Kiranga, wewe binafsi umeanzisha jamii ngapi za watu walio mahiri?
 
Kweli kabisa ni kama ilivyo CHADEMA na Wachaga wanashirikiana ili wachukue Dolla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…