Wayahudi Tanzania?

Wayahudi Tanzania?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
 
Msubirie Kiongozi wao hapa JamiiForums GENTAMYCINE aktoka katika BAN yake atakuja Kukujibu vyema na kiufasaha kabisa.
 
Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
Wachagga labda wanahusiana na Wayahudi; tabia zao za kupenda fedha,tabia za ulaghai; halafu they are very clever. In fact,niliona video inaongelea kuhusu hili jambo.
Halafu Wayahudi walipokuwa na himaya yao,Eastern Europe,mfalme alikuwa anaitwa "Chaga.". Now how is that for coincidence?
 
Back
Top Bottom