Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Anamaanisha nininl)?)Unataka kutambika?
Wachaga,kasome kitabu Cha walawiUkiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
Jn kule kwenye maandamano yao ktk msikiti wa al qasda Israel nilimiona muisrael mweusi mwanajeshi kashika na mtutu wa bunduki kabisa waka waziri wa ulinzi Kama.sikosei alipodhuru eneo hilo.Wachaga,kasome kitabu Cha walawi
Dhuru = kutia uharibifu, madharaalipodhuru
Ok, nimeelewa nilijichanganya tu si unajua asubuhi hii wengine ndio tunaamka tulikuwa shift ya usiku.Dhuru = kutia uharibifu, madhara
Neno sahihi ni ZURU linaloambatana na ziara.
Msubirie Kiongozi wao hapa JamiiForums GENTAMYCINE aktoka katika BAN yake atakuja Kukujibu vyema na kiufasaha kabisa.Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
wayahudi hawana roho ya kimasikini kama wasukumaWasukuma ndyo wahayudi
Wachagga labda wanahusiana na Wayahudi; tabia zao za kupenda fedha,tabia za ulaghai; halafu they are very clever. In fact,niliona video inaongelea kuhusu hili jambo.Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.