Nyangwisi de Yahudi Netanyahu worshipper umefurahi au siyo ?Msomali kutoka Somalia 🇸🇴 akipokea kipigo cha mbwa mwitu alipojaribu kupeperusha bendera ya Somalia kwenye kundi la wa Somalia wenzake kutoka Somali Land wakisherekea Israel kuitambua nchi yao.
View attachment 3525601
Safi sana, Turkey na Somali Mogadishu juzi walipiga yowe wakati Netanyahu anasaini MOU.