Nadhani ni miaka 7 sasa [kama sijakosea] tokea AT atone ngoma yake hiyo akiwadiss Offside Trick.
AT ni mshairi mzuri sana na naamini yuko underrated.
This is my WayBackWednesday.
What’s yours?
Sidebar: Mwanne Othman ananikumbusha mdada mmoja wa JF matata flani hivi. Wamefanana mengi kuanzia sauti, rangi, sura, mtindi.....na jingine siri yangu.