OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kweli kabisa nasikia wanamtaka jesus molokoPropaganda
wajinga Sana hao widadi,Wamlipe kwanza Msuva
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]kweli kabisa nasikia wanamtaka jesus moloko
Yaani mkuu ukiwa kwenye Soka,unakuwa mtamu kweli...ila likija suala nyeti la Siasa unakuwa Utopolo,tatizo Nini!.😂Sakho baada ya kucheza Simba ndo ameoneka ni mtu,hii inaonyesha jinsi Simba ilivyo lidude flani hivi kuuuuubwa.
okoteza na weweHabari za kuokoteza mitandaoni...
kasaidie kunenepesha six pack yenuHabari za kuokoteza mitandaoni...
kweli Simba timu kubwa hakya mama