Hapo mpwa nimekupata sana pia ila hao kajamaaa kamenikela sana, na huo u coward /ubinafsi wake na kutaka kubinafsisha kila X-gal friend alio wapitia utamfikisha pabaya sana ati. subiri tumwone anapotaka kwenda
Nimemchukia sana kwa kweli...amewapa waandishi wa udaku issue....the sun hapo kila siku ukurasa wa mbele......Vanessa JT Bridge .....demu mwenyewe yule ni chawote! Si ajabu sasa hivi kuna msela anapiga push ups
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
Kumbe kimtachi Wayne kiasi hiki, si mchezo!!..sasa anaiangusha timu ya taifa hivihivi,duh!..Atakuwa amemfia huyo dada kwelikweli!
Disgraced England captain John Terry got best pal Wayne Bridge's ­girlfriend pregnant.
And he then ­arranged for devastated Vanessa Perroncel to have an abortion as he shamelessly tried to keep the scandal ­under wraps.
French underwear model ­Vanessa, 28, fell pregnant last ­autumn weeks into her fling with Terry, Bridge's best friend and neighbour.
Vanessa – who has a four-year-son with Bridge – steadfastly stuck to a pact she agreed with Terry not to admit ­anything. But she later crumbled when Bridge confronted her in person.
source; http://www.mirror.co.uk/news/top-st...bridge-s-girlfriend-pregnant-115875-22007179/
Wote ni wazuri tatizo uzoefuSioni tatizo hapo, Mathew Upson anaweza chukua nafasi ya Ferdinand, namkubali sana huyu jamaa wa Westham. Upande wa kushoto off course Ashley Cole ni chaguo la kwanza, wapo wachezaji wakuchukua nafasi ya Bridge kama Stephen Warnock, Nicky Shorey , Luke Young ama Leighton Baines.
Issue ya Cole ni tofauti kabisa na bridge,Cole anakula mademu wa nje but JT amekula demu wa BridgeWana JF,
Kweli mie siwafichi kabisa huyo W.Bridge ni anaakili za kitoto siju amekumbwa na maswahibu gani.
Ila all in all nikuwa W. Bridge kwa vyovyote vile ni lazima tu ana uhusiano wa mapenzi na huyo X-gal friend wake pamoja na kuwa ameoa mwanamke mwingine, hivyo basi kimemuuma sana sasa anataka kutuletea yale mahasila ya kike ya kususa yeye anadhani ni yeye tu ndio anakula iyo shamba(x-gal friend) aache uzushi labda atuambie tu analake jambo au anataka kujenga hisia kwa waingereza wenzake kuwa J.Terry ni mbaya na hafai ni kumwalibia jina mwenzake na si mnajua media za UK ni wambea kuliko zote dunia kitu kidogo tuu wanakikuza ati.
Mbona Ashly Core anakumbana na matatizo tena ya ndoa ila anadunada kila kukicha iweje W.bridge tu hicho ki x-gal friend ndio kimwondoe kwa National Team, yani chama cha FA cha UK kimwadabishe huyo W.Bridge hana uzalendo wa kitaifa na achunguzwe anatuletea mambo yake ya nje kwa national matter eeeeeh bhooooo
Hizi zinaitwa ngumi za uso. yaani kila ikitua ni pointi tu na ukiendelea hivi KO ik njiani maana macho yamevinba kinoma. Jamaa analialia kwasababu JT yuko Chelsea na kwa tena Bridge alienda City.Tehetehe!, Masa najua una uchungu sana coz of Terry, u are more worried kwa sababu una wasiwasi kuwa itam-destabilize Terry kiwango chake uwanjani ktk ngazi ya Klabu kuliko nchi yake, au sio Bruh?
BTW; Huyu Terry ni Mngoni au?, Lol!
Wewe jamaa kama hujasomea counseling basi fanya fanya upate shahada yako ya Uzamivu kwenye psychology, maana umalitizama suala hili kwa mapana. Fikiria Bridge anatoa back pass kwa JT halafu mpira unanswa kitu kina tinga nyavu lawama zitakuwa za nani?Sidhani Bridge anajali hilo maana kwa wazungu wakati mwingine mpenzi kuliwa na mtu mwingine hawajali sana. Ila hapa Bridge anaogopa kuwa kwenye "limelight" isiyokuwa na mbele wala nyuma na haswa wakati wa World Cup. Kosa kidogo likitokea kwa mfano wakati wa mchezo ikiwa wanacheza Terry na Bridge vyombo vya habari vitayakuza mno. Kwamba kuna chuki kati yake na Terry ndio maana ikawa vile.
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
Umetazama hili suala kiswahili zaidi ndio maana umekuja na hiyo conclusion, sishangai
kiswahili namna gani? fafanua. alitaka kusikitika lakini si namna anlivyofanya, kwa hiyo tatizo ni JT kutembea na X- Girlfriend wake na kumpa mimba? na angetembea na jamaa mwingine si JT?
Masanilo upo sahili mkuu - bado namuona jamaa si mwanaume - ana hasira za kike kike - unafikia hatua ya hata kukataa national team call up kisa wivu
Hata wewe sio kosa lako, ni mazingira ya kiswahili uliyokulia ndio yamekufanya uwe na mtazamo huo. Kama utakumbuka hata scandal iliyowahi kumpata Mzee Dito (RIP) alidai kwao ni urijali, kiswahiliswahili ni sawa ila kwa wenzetu ni tofauti sana. Kuna namna ya kuangalia jambo, jambo hilo hilo ukiliangalai kwa mtzamo wa kimagharibi utapata tafsiri tofauti na ukiliangalia kwa mtazamo wa kwetu. Kiswahili ni sawa, WB ana wivu wa kike sikatai, ila mtazamo wa kimagharibi ni tofauti kabisa, na hivi sasa kuna wito wa kumtaka JT nae ajitoe national team!