jamani kila striker ana skills zake - so you can'nt say Rooney is the best striker - best for what? kufunga, ku -create chances au kuhamasisha timu ishinde?
and you cant compare - Drobga, Rooney, Teves, Torres, Adebayor, Anelka, Saha nk, kila mmoja ana skills zake.
kwa afano huwezi Compare Ronaldo na Messi kila mmoja na skills zake na namna anavyochangia ushindi katika timu yake.
Kwangu mimi sikubaliani kwamba Rooney ni complete striker England - No. Unless nipewe zigezo vingine zaidi alivyonavyo kulingalisha ha hao wengine niliowataja.