Wazabuni huwa wanapangaje bei za bidhaa?

Wazabuni huwa wanapangaje bei za bidhaa?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu,

Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni?

Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/

Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
 
Unaongeza faida toka kwenye bei yenye faida

Unaongeza asilimia ya wahusika

Unaongeza asilimia itakayopunguzwa
 
Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu.
Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500
So bei isizidi 4500
 
Back
Top Bottom