M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Jun 13, 2023 #1 Salamu, Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni? Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/ Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
Salamu, Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni? Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/ Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jun 13, 2023 #2 Unaongeza faida toka kwenye bei yenye faida Unaongeza asilimia ya wahusika Unaongeza asilimia itakayopunguzwa
Unaongeza faida toka kwenye bei yenye faida Unaongeza asilimia ya wahusika Unaongeza asilimia itakayopunguzwa
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 848 Reaction score 1,535 Jun 13, 2023 #3 Wasiliana na watu wa manunuzi
Spectophotometer JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 295 Reaction score 468 Jun 18, 2023 #4 Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500
Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Jun 18, 2023 Thread starter #5 Spectophotometer said: Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500 Click to expand... Ahsate,hapo na VAT inejunuishwa ??
Spectophotometer said: Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500 Click to expand... Ahsate,hapo na VAT inejunuishwa ??
Spectophotometer JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 295 Reaction score 468 Jun 19, 2023 #6 MAKULUGA said: Ahsate,hapo na VAT inejunuishwa ?? Click to expand... Yeah! Unahisi hutapata faida?