Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na huo mrabaha sijui mnini subiri uone kitakachomkuta. Kama hatatekwa na wasiojulikana ama kupotea katika mazingira yasiyojulikana sijui. Am 60 yrs now and I have sufficient experience ktk nji hiiItakuwa anataka mlabaha huyo si bure
madini ya aina gani?Mkazi mmoja wa wilayani Serengeti amedai kugundua eneo lenye madini aina mbalimbali ambayo anataka kuyakabidhi serikalini ili yachimbwe kwa manufaa ya taifa. Source: ITV HABARI
hahaa ilo sijui ila ikijaribu kijizuru au kijiua serikali lazima ikushtaki.Kwa hiyo nikienda Canada naweza kuzuiliwa kuondoka[emoji12]