Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake?
Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu?
Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu?
Taifa hili linahitaji wazalendo Kama Dk Slaa ambao wapo tayari kufa ili kulinda rasimali za taifa lao.
Kizazi hiki kikitoweka. Itakuwaje?