Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Usifikiri hao wapayukaji uliowataja, Lissu, Slaa, Mwabukusi & Co, wana dhamira ya dhati kwa wanachokipayukia. Wote hao wanapayuka tu kujitafutia fursaWahenga walisema "ukimwamsha aliyelala, basi utalala wewe"
Kiburi, majivuno na tamaa ya watawala vimewafanya watanzania wahoji hata mambo ambayo hayakuwahi kuhojiwa huko nyuma. Kiufupi ni kwamba mpaka hili sakata linaisha watanzania wengi upeo wao wa kufikiria mambo hasahasa mikataba ya uwekezaji utakuwa mkubwa sana.
Ila kubwa zaidi nafurahi kwamba mpaka sasa, CCM wamefahamu umuhimu wa kuwa na katiba mpya. Maana tangu marehemu alivyoondoka ghafla taasisi za nchi hii ziliingiwa na kiwewe ambacho mpaka sasa hivi hakijaisha. Tukijipanga vizuri, mambo kama haya hayawezi kutokea kirahisi. Tatizo ni kwamba, CCM walifanya siasa za choyo, kihafidhina na kukomoana ila zimewarudia hadi wenyewe.
Mambo kama haya yanapotokea, mbali na kuwa na madhara, yanatuonesha tatizo kwenye nchi liko wapi. Mpaka sasa watu werevu ambao vichwa vyao vimetulia washafahamu tatizo kubwa liko wapi, nani ni adui, na jinsi gani tulishughulikie.
Hongera Dr Slaa, Hongera Lissu, Hongera Wakili Mwabukusi, mmelitendea haki taifa lenu. Mbarikiwe sana na Bwana Yesu.
Usifikiri hao wapayukaji uliowataja, Lissu, Slaa, Mwabukusi & Co, wana dhamira ya dhati kwa wanachokipayukia. Wote hao wanapayuka tu kujitafutia fursa
kama wewe kuwadi la dpworld uliyehongwa na mabwana zako warabu koko unavyowatetea.Usifikiri hao wapayukaji uliowataja, Lissu, Slaa, Mwabukusi & Co, wana dhamira ya dhati kwa wanachokipayukia. Wote hao wanapayuka tu kujitafutia fursa
Slaa au Lissu wasipopayuka umuhimu wao unapotea fasta. Kuna mtu anajua walikofia hawa waliokuwa waropokaji maarufu wa chadema: Lema, Wenje, Heche, Sugu?Suala la dhamira ni la mtu binafsi, hata wewe unaweza ukawa unatafuta fursa kama wao ila umejivisha ngozi ya uzalendo. Hatuwezi kufahamu. Ila ambacho tunakifahamu ni kwamba wametusemea ambayo watanzania wengi tulikuwa nayo moyoni. Sasa, wamesema kwa kutafuta fursa binafsi au uzalendo, hayo hayanihusu hata kidogo.
Liko wapi taifa la Tanganyika?Wahenga walisema "ukimwamsha aliyelala, basi utalala wewe"
Kiburi, majivuno na tamaa ya watawala vimewafanya watanzania wahoji hata mambo ambayo hayakuwahi kuhojiwa huko nyuma. Kiufupi ni kwamba mpaka hili sakata linaisha watanzania wengi upeo wao wa kufikiria mambo hasahasa mikataba ya uwekezaji utakuwa mkubwa sana.
Ila kubwa zaidi nafurahi kwamba mpaka sasa, CCM wamefahamu umuhimu wa kuwa na katiba mpya. Maana tangu marehemu alivyoondoka ghafla taasisi za nchi hii ziliingiwa na kiwewe ambacho mpaka sasa hivi hakijaisha. Tukijipanga vizuri, mambo kama haya hayawezi kutokea kirahisi. Tatizo ni kwamba, CCM walifanya siasa za choyo, kihafidhina na kukomoana ila zimewarudia hadi wenyewe.
Mambo kama haya yanapotokea, mbali na kuwa na madhara, yanatuonesha tatizo kwenye nchi liko wapi. Mpaka sasa watu werevu ambao vichwa vyao vimetulia washafahamu tatizo kubwa liko wapi, nani ni adui, na jinsi gani tulishughulikie.
Hongera Dr Slaa, Hongera Lissu, Hongera Wakili Mwabukusi, mmelitendea haki taifa lenu. Mbarikiwe sana na Bwana Yesu.
Uzalendo sio kuwa Cdm we kSlaa sio mzalendo usidanganye watu huyu alisaliti mabadiliko katikati ya mapambano akahongwa ubalozi. Akafie mbele huko.
K mama yakoUzalendo sio kuwa Cdm we k
We kenge huyo ni mchumia tumbo tu anatumiwa na kanisa lake kumkwamisha rais, ni mbaguzi anayetaka kuigawa nchi yetu,Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake?
Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu?
Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu?
Taifa hili linahitaji wazalendo Kama Dk Slaa ambao wapo tayari kufa ili kulinda rasimali za taifa lao.
Kizazi hiki kikitoweka. Itakuwaje?
Wewe Una dhamira gani zaidi ya Uchawa?Usifikiri hao wapayukaji uliowataja, Lissu, Slaa, Mwabukusi & Co, wana dhamira ya dhati kwa wanachokipayukia. Wote hao wanapayuka tu kujitafutia fursa
Tena K mnuko.Uzalendo sio kuwa Cdm we k
K mnuko kaa kimyaK mama yako
Hivi huyu bwana nae anaingia kwenye kundi la wazalendo? Huyu sio yule aliyewasalitini nyie wana chadema na kuwaacha solemba kipindi kigumu cha uchaguzi na kulambishwa asali huko ubalozini?Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake?
Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu?
Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu?
Taifa hili linahitaji wazalendo Kama Dk Slaa ambao wapo tayari kufa ili kulinda rasimali za taifa lao.
Kizazi hiki kikitoweka. Itakuwaje?
Ni mzalendoHivi huyu bwana nae anaingia kwenye kundi la wazalendo? Huyu sio yule aliyewasalitini nyie wana chadema na kuwaacha solemba kipindi kigumu cha uchaguzi na kulambishwa asali huko ubalozini?