K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Oct 6, 2025 #1 Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi. Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia hatuna na vijana wanachoshwa na rushwa na familia tatu nchini kuendesha nchi kama yao pekee
Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi. Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia hatuna na vijana wanachoshwa na rushwa na familia tatu nchini kuendesha nchi kama yao pekee
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Oct 6, 2025 #2 Majenerali wanashiba na kutapika. Hawa hawana lolote hata kupigana hawawezi na vitambi vya kilo 300 and above
Majenerali wanashiba na kutapika. Hawa hawana lolote hata kupigana hawawezi na vitambi vya kilo 300 and above