Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.
Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake.
Haya maneno labda wameyasikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM wameyanukuu verbatim.
Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM.
Lakini inasemekana kwamba ,M-23 are well+equiped. M-23 inasemekana wanatumia bunduki ambazo zinafanana sana na bunduki wanazotumia IDF( Israeli Defense Forces)au US Army.
Kwa hiyo sasa Kagame anasema hataki lakini walisaidia kumuondoa Mobutu na bado hawajalipwa.