Wazalishaji ama wasindikaji wa Nafaka na mimea ya mikunde

kilimobiznet

Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
25
Reaction score
12
Habari wadau,

Ninahitaji kuunganisha wajasiriakilimo Katika mradi unaoitwa SITA Yaani support India Trade and Investment in Africa... Mradi huu utahusisha kuunganisha wadau Katika mnyororo wa thamani wa Pulses na oilseed (mikunde na mimea ya kuzalisha mafuta).

Ukitaka kufaham zaidi kuhusu huu mradi tafadhali tembelea website ya ITC ama ofisi za Eastern Africa Grain Council ((EAGC) pale sinza ama Tanzania Graduate Farmers Association (TGFA) PALE MOROGORO.

KIBUAS kama mdau tutakuwa tayari kutoa ushauri na hata kuunganisha na wataalamu wengine.

Mawasikiano yetu ni kilimobiznet@gmail.com ama 0789856246 ( calls ama sms).
 

Attachments

  • 1453488064006.jpg
    38.6 KB · Views: 28
  • 1453488111087.jpg
    59.2 KB · Views: 28
Mkuu labda ungefafanua kwa kifupi malengo ya huu mradi kwa wajasiliakilimo ni yapi
 
Supporting Indian Trade and Investment for Africa (SITA) - ITC
 
Kukiwa hakuna agenda za siri ni kitu kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…