Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wakuu jana jamaa wamefanya yao huki tanga maeneo ya kange kasera, wamenipiga mbali na vitu vingine laptop toshiba nyeusi, ukikutana nao nichek inbox
 
Nilivamiaga pangani..nmekaa miaka kama 4 ivi..
 
Am from Love city... I missing home... Mihogo ya Nazi na samaki wakubwa.... Daaahh bila kusahau wadada warembo ndani ya hijabu na Madera... Wenye misabwanda naturally sio kama ya WemaKadinda. This is my love city
 
Shunie nilimuona kuleee donge sjui bado yupo kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…