Basi thread ziko 3, press release ni Ileile ya 14/11!Nyuzi mbili tofauti;
Wa kwanza mwanafunzi wa Zambia nchini afariki vitani Ukraine uzi wa pili;
Wenye mtoto wataka maelezo🤔
Supa-pawa analazimisha wafungwa kwenda vitaniMfungwa amefia vitani?Huyu rais wa Urusi ni tatizo.